Mivutano mipya, hatua mpya katika mahusiano ya mvutano kati ya Vatican na mabaraza ya maaskofu barani Afrika. Mwezi Desemba mwaka uliyopita, Vatican iliidhinisha baraka kwa wale wanaoitwa wanandoa ...
Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini DRC walieleza msimamo wao kufuatia barua ya papa iliyowaidhinisha makasisi kutekeleza baraka rahisi, nje ya liturujia, ya ndoa ya wapenzi wa jinsia moja. Katika ...