Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa ...
Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewaonya wananchi dhidi ya kuruhusu akaunti zao za benki au huduma nyingine za kifedha kutumika kupokea au kuhamisha fedha zisizojulikana chanzo chake.
Dar es Salaam. Kocha Msaidizi wa Yanga, Matthew Silva ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo jambo linaloonekana kuchangiwa na sababu mbili za msingi. Kwanza ni kupisha ujio wa benchi jipya la ufundi chini ...
Dar es Salaam. Utafiti mpya umebaini kuwa tabia ya kulala bila ratiba maalum pamoja na kupata usingizi wa chini ya saa nane kwa usiku, inaweza kuongeza hatari ya kupata magonjwa makubwa ya moyo, ...
Waziri wa Kilimo, Danie Chongolo (wa pili kulia) akikagua moja ya banda la wafanyabiashara wa pembejeo za kilimo mkoani Songwe baada ya kumalizika kwa kikao na afantabuashara hao. Songwe.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Profesa Charles Kihampa akizungumzia kufunguliwa kwa dirisha la udahili kwa wanafunzi wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Dar es ...
Wanatumia vitegemezi, washirika wa bedroom kunivisha kiremba cha ukoka. wanaboronga halafu wanajigonga na kujikomba kwangu ili waendelee kunigeuza bunga. Huwa sipendi sifa. Mie ni Fyatu. Siyo Mungu ...
Dodoma. Tume ya Utumishi wa Umma (TUU) imetaja ilichoita tiba ya kupunguza migogoro kwa watumishi kwamba itakuwa ni elimu, kwani wengi wanafanya maamuzi bila kuzingatia sheria. Kauli hiyo imetolewa ...
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imeazimia mambo 15 likiwemo la kuitisha Baraza Kuu la chama hicho na kuendelea na operesheni ya Katiba Mpya katika visiwa Pemba ...
Dar es Salaam. Malalamiko ya wananchi kuhusu kubambikiwa malipo ya maegesho ya magari huenda yakapungua baada ya kubuniwa kwa teknolojia ya Rafiki Parking and Car Wash, mfumo unaotumia akili bandia ...
Mstaafu anamshukuru sana Mungu kwa kumfanya kuwa miongoni mwa waliokuwa wakiitwa 'Matineja' (Teenagers) wa enzi hizo za miaka ya katikati ya sabini waliomaliza Kidato cha Nne ambao, japo akili zao ...
Katika hali ambapo idadi ya kinamama wanaojifungua kwa njia ya upasuaji inaendelea kuongezeka huku muda wa kukaa hospitalini ukipungua, hitaji la mwongozo thabiti wa huduma za nyumbani limekuwa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results