Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa ...
Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii wa Madhehebu yote ya Kikristo Tanzania (TPA), Dk Mussa Mlawi (katikati), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa mfuko wa ...
Dar es Salaam. Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefungua rasmi dirisha la maombi ya udahili kwa waombaji wa shahada ya kwanza katika taasisi za elimu ya juu nchini kwa mwaka wa masomo 2026/27, huku ...
Waziri wa Kilimo, Danie Chongolo (wa pili kulia) akikagua moja ya banda la wafanyabiashara wa pembejeo za kilimo mkoani Songwe baada ya kumalizika kwa kikao na afantabuashara hao. Songwe.
Katika hali ambapo idadi ya kinamama wanaojifungua kwa njia ya upasuaji inaendelea kuongezeka huku muda wa kukaa hospitalini ukipungua, hitaji la mwongozo thabiti wa huduma za nyumbani limekuwa ...
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imeazimia mambo 15 likiwemo la kuitisha Baraza Kuu la chama hicho na kuendelea na operesheni ya Katiba Mpya katika visiwa Pemba ...
Dodoma. Tume ya Utumishi wa Umma (TUU) imetaja ilichoita tiba ya kupunguza migogoro kwa watumishi kwamba itakuwa ni elimu, kwani wengi wanafanya maamuzi bila kuzingatia sheria. Kauli hiyo imetolewa ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Katika hali ambapo idadi ya kinamama wanaojifungua kwa njia ya upasuaji inaendelea kuongezeka huku muda wa kukaa hospitalini ukipungua, hitaji la mwongozo thabiti wa huduma za nyumbani limekuwa ...
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewachukulia hatua viongozi wake wa Mkoa wa Morogoro na Jimbo la Bumbuli, mkoani Tanga, baada ya kumtuhumu hadharani makamu mwenyekiti wa ...
Dar es Salaam. Utafiti mpya umebaini kuwa tabia ya kulala bila ratiba maalum pamoja na kupata usingizi wa chini ya saa nane kwa usiku, inaweza kuongeza hatari ya kupata magonjwa makubwa ya moyo, ...
Mwanza. Watu watatu wamefariki dunia na wengine 48 wameokolewa baada ya boti iliyokuwa imebeba zaidi ya abiria 50 kuteketea kwa moto katika Ziwa Victoria usiku wa kuamkia leo Alhamisi, Julai 9, 2026.