Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu (kulia) akisalimiana na aliyekuwa Balozi, Dk. Wilbroad Slaa alipokwenda kuungana na jopo la Mawakili wanaomtetea katika kesi inayomkabili ya kuchapisha taarifa ...