Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini ni demokrasia ya kikatiba ambayo imekita mizizi katika utawala wa ...
Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
7. Je, wajua kuwa Chege anashirikisha sana wasanii wa kike katika nyimbo zake?, ameshafanya kazi na Malaika (Uswazi Take Away), Vanessa Mdee (Manjegeka), Nandy (Kilele cha Chura), Ray C (Najiuliza), ...
MISSOULA, Mt. — Bozeman native Haley Chura was the first female finisher in the Disneyland Half Mile Marathon. Chura's first place finish came at the 01:24:04 mark of the race, a whole five ...
Urusi inaonekana kuwa na nia ya kuongeza uzalendo miongoni mwa wakazi katika visiwa vinne ambavyo Japani inaviita Maeneo ya Kaskazini. Urusi inavidhibiti visiwa hivyo vinne. Japani inadai kuvimiliki.
Umoja wa Mataifa unasema zaidi ya malori Elfu 10 ya misaada ya kibinadamu yameingia katika Ukanda wa Gaza tangu kipindi cha usitishaji wa mapigano kuanza tarehe 19 ya mwezi uliopita. Tangazo la ...
Jijini Goma mashariki mwa DRC, baadhi ya wakimbizi waliokimbia makazi yao kuhofia mapigano kati ya M23 na FARDC wameanza kurejea taratibu katika makazi yao ya awali. Haya yanajiri wakati huu hofu ...
Mkuu wa zimamoto na EMS wa Wilaya ya Columbia, John Donnelly, alisema katika mkutano na wanahabari jana Ijumaa kwamba seti 41 za mabaki zimepatikana na 28 zimetambuliwa. Aliongeza kuwa wahudumu wa ...
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani juzi, Jumamosi dhidi ya MC Alger ya Algeria.
Shirika hilo linasema takriban wakimbizi 18,000 waliokimbia vita Sudan hivi sasa wanaishi katika kambi ya wakimbizi ya Korsi katika eneo la Birao, jimbo la Vakaga Katikati Mashariki mwa Jamhuri ya ...
Kitendo cha mwamuzi Abel William wa Arusha jana kumuonyesha kadi mbili (ya njano na nyekundu) kwa pamoja kipa wa Fountain Gate, John Noble katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika kwa sare ya 1-1 ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi ya Usimamizi wa Mazingira (NEMC), kanda ya Kati imefanikiwa kusajili miradi ya maendeleo 105 na kuipa cheti cha tathmini ya athari kwa mazingira (EIA) katika kipindi cha ...