Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu (kulia) akisalimiana na aliyekuwa Balozi, Dk. Wilbroad Slaa alipokwenda kuungana na jopo la Mawakili wanaomtetea katika kesi inayomkabili ya kuchapisha taarifa ...
Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini ni demokrasia ya kikatiba ambayo imekita mizizi katika utawala wa ...
Miongoni mwa yale utakayosikia katika makala ya wiki hii ni pamoja na hatua ya Rais wa Kenya William Ruto kuzungumza na wapiga kura kwa njia ya mtandao wa X, wanajeshi waliotoroka adui DRC ...
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Watu waliokimbia makazi yao awali wanakimbia tena kuondoka katika kambi ya wakimbizi wa ndani Kanyaruchinya, wakikimbia mapigano. Kambi za ...
Nipashe. KINACHOENDELEA UCHAGUZI CHADEMA: Mbowe ampongeza Lissu Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amempongeza Tundu Lissu na wenzake baada ya kuibuka washindi katika uchaguzi wa chama ...
Dar es Salaam. Usiku wa kwanza unapinduka katika viunga vya Mlimani City, unakofanyika uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa Chadema na Makamu wake bara na Zanzibar. Isingekuwa rahisi kwa wajumbe wote ...
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani juzi, Jumamosi dhidi ya MC Alger ya Algeria.
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani juzi, Jumamosi dhidi ya MC Alger ya Algeria.
7. Je, wajua kuwa Chege anashirikisha sana wasanii wa kike katika nyimbo zake?, ameshafanya kazi na Malaika (Uswazi Take Away), Vanessa Mdee (Manjegeka), Nandy (Kilele cha Chura), Ray C (Najiuliza), ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results