Aziz Ki akiwa amepiga goti, alimuomba Hamisa kukubali ombi la kuwa mkewe, muda mfupi baada ya kukamilisha taratibu za utoaji ...
Mchuano huo uliokwenda hadi mzunguko wa saba Youssouf ameshinda kwa kupata kura 33, baada ya Raila kuondoa jina lake.
Msanii wa muziki wa Jazz, Blinky Bill kutoka Kenya, ameiambia Mwananchi Digital kuwa Tanzania imepoteza ladha ya muziki ...
Hamisa ameiambia Mwananchi Digital kuwa, anamshukuru Mungu kumpata mtu anayeona ndiye anamfaa katika maisha yake na tayari ...
Mama huyo, amesema, Hamisa na Azizi Ki wapo katika uhusiano mwaka moja hadi kufikia hatua ya sasa ya kufunga ndoa ni jambo la ...
Dar es Salaam. Miili ya watu watatu kati ya wanne waliyofariki katika ajali iliyohusisha lori lililohama njia na kuparamia ...
Februari 12, 2025 akiwahutubia Watanzania katika ofisi za makao ya Chadema, Mikocheni jijini Dar es Salaam Lissu alitangaza ...
Mahmoud Youssouf ameshinda nafasi hiyo kwa kupata kura 33. Wagombea wengine walikuwa Raila Odinga wa Kenya na Richard ...
Majibu yaliyotolewa ni ya wale ambao waliofanya usaili kati ya Septemba 2, 2024 na Januari 17, 2024 na kufaulu ambayo ...
Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akiwataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini, ...
Wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) mkoani Shinyanga wamesema mzunguko mdogo wa biashara umesababisha washindwe kulipia ...
Ni kilio kila kona, wananchi wakilalamikia tozo ya huduma ya choo inayokusanywa kwenye stendi kuu za mabasi za mikoa nchini.