Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewaonya wananchi dhidi ya kuruhusu akaunti zao za benki au huduma nyingine za kifedha kutumika kupokea au kuhamisha fedha zisizojulikana chanzo chake.
Dar es Salaam. Kocha Msaidizi wa Yanga, Matthew Silva ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo jambo linaloonekana kuchangiwa na sababu mbili za msingi. Kwanza ni kupisha ujio wa benchi jipya la ufundi chini ...
Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii wa Madhehebu yote ya Kikristo Tanzania (TPA), Dk Mussa Mlawi (katikati), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa mfuko wa ...
Waziri wa Kilimo, Danie Chongolo (wa pili kulia) akikagua moja ya banda la wafanyabiashara wa pembejeo za kilimo mkoani Songwe baada ya kumalizika kwa kikao na afantabuashara hao. Songwe.
Dar es Salaam. Utafiti mpya umebaini kuwa tabia ya kulala bila ratiba maalum pamoja na kupata usingizi wa chini ya saa nane kwa usiku, inaweza kuongeza hatari ya kupata magonjwa makubwa ya moyo, ...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Profesa Charles Kihampa akizungumzia kufunguliwa kwa dirisha la udahili kwa wanafunzi wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Dar es ...
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Nishati, Petro Lyatuh (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli Tanzania (Pura), Charles Sangweni (wapili kushoto) ...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima akizungumza na Wananchi eneo la Kata Kitwiru mkoani Iringa baada ya kukagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na ...
Dodoma. Tume ya Utumishi wa Umma (TUU) imetaja ilichoita tiba ya kupunguza migogoro kwa watumishi kwamba itakuwa ni elimu, kwani wengi wanafanya maamuzi bila kuzingatia sheria. Kauli hiyo imetolewa ...
Dar es Salaam. Malalamiko ya wananchi kuhusu kubambikiwa malipo ya maegesho ya magari huenda yakapungua baada ya kubuniwa kwa teknolojia ya Rafiki Parking and Car Wash, mfumo unaotumia akili bandia ...
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imeazimia mambo 15 likiwemo la kuitisha Baraza Kuu la chama hicho na kuendelea na operesheni ya Katiba Mpya katika visiwa Pemba ...
Mstaafu anamshukuru sana Mungu kwa kumfanya kuwa miongoni mwa waliokuwa wakiitwa 'Matineja' (Teenagers) wa enzi hizo za miaka ya katikati ya sabini waliomaliza Kidato cha Nne ambao, japo akili zao ...