Kupitia wimbo wake, '97 Bonnie na Clyde' kutoka katika EP yake, The Slim Shady (1998), Eminem kwa mara ya kwanza anamtaja malaika wake, Hailie Scott, hapa ndipo ulipolala moyo wake na mwanzo ...
Lamar ni jina la mtayarishaji muziki Bongo alianza kazi hiyo akiwa kijana mdogo sana na kulishika game kipindi hicho kwa ...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Husna Mohamed Abdallah, ameahidi kupigania ushiriki wa wanawake wa chama hicho ...
Ahmed Ally atashiriki droo ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na droo ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ...
Ninapotafakari kwa kina mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ninakumbuka falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kama ingetekelezwa ipasavyo, inaonekana ...
Pemba ina mikoa miwili. Mmoja Kusini Pemba, mwingine Kaskazini Pemba. Kusini ndiyo mjini, makao makuu ya Kisiwa cha Pemba.
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hatima ya mpango wa kuunda muungano mseto wa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani ...
Dar es Salaam. Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) umepokea tuzo ya kimataifa kutokana na mchango wake wa kuboresha ...
Kutokana na faida zake lukuki katika dunia ya sasa, matumizi ya vifaa hivyo kwa sasa yamevunja mnyororo wa rika, kwani watoto ...
Dar es Salaam. Hayo yameelezwa leo wakati shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) lilipokutana na wadau mbalimbali kujadili ...
Hatua hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu Mwananchi itoe habari ikieleza namna wafanyabiashara, bodaboda walivyojipanga na maboresho hayo ya ufanyaji biashara.
Wakati kero ya migogoro ya ardhi ikiendelea kusumbua maeneo mbalimbali nchini, Mkoa wa Lindi umeeleza namna unavyopambana ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results